TANGAZO

Tuesday, November 19, 2013

Wizara ya Fedha

Naibu Waziri wa Fedha, Sada Mkuya Salum, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akifafanua kuhusu wafanyabiashara kutumia mashine za kulipia kodi za 'Electronic fiscal device' (EFD), ambapo alisema kuwa mashine hizo, hutoa kodi halisi ambayo mfanyabiashara hutakiwa kulipa na hivyo kuwaondolea usumbufu wa ukadiriaji wa kodi uliokuwa ukifanywa na Maofisa wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), kwenye maduka yao. Katikati ni Naibu Waziri mwenzake, Janeth Mbene na kulia ni Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade.

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo, wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa katika mkutano huo, jijini leo.

Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati Naibu Waziri wa Fedha, Sada Mkuya Salum (kushoto), alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu ulipaji kodi kwa kutumia mashine za Electronic fiscal device' (EFD), jijini leo. Katikati ni Naibu Waziri wa Fedha, Janeth Mbene

No comments:

Post a Comment