Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu upotoshwaji wa suala la ulipaji wa kodi kupitia mashine za kulipia za 'Electronic fiscal device' (EFD), unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara pia kuhusu kuwatumia wamachinga kufanya fujo nchini. Mkuu wa Mkoa Sadiki amewataka wafanyabiashara hao, kufungua maduka yao na kuendelea na shughuli zao kama kawada. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu upotoshwaji wa suala la ulipaji wa kodi kupitia mashine za kulipia za 'Electronic fiscal device' (EFD), unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara pia kuhusu kuwatumia wamachinga kufanya fujo nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu upotoshwaji wa suala la ulipaji wa kodi kupitia mashine za kulipia za 'Electronic fiscal device' (EFD), unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara pia kuhusu kuwatumia wamachinga kufanya fujo nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akizungumza na waandishi wa habari, katika mkutano huo, aliowataka wafanyabiashara kufungua maduka yao na pia kuendelea kutumia mashine za kulipia kodi za 'Electronic fiscal device' (EFD), ambazo hurahisisha ulipaji kodi kwa mfanyabiashara.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu upotoshwaji wa suala la ulipaji kodi kupitia mashine za kulipia za 'Electronic fiscal device' (EFD), unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara pia kuhusu kuwatumia wamachinga kufanya fujo ambao wao hawahusiki na suala hilo. Wengine ambao Mkuu wa Mkoa aliowataja kutokuhusika na mpango huo wa ulipaji kodi kuwa ni pamoja na mama ntilie, wauza mishkaki na chipsi.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki kufuatilia habari alizokuwa akizitoa.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari, wakiwa katika mkutano huo na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki kufuatilia habari alizokuwa akizitoa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kwenye mkutano huo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano huo.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari, wakichukua habari zilizokuwa zikitolewa na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki, wakati akizungumza nao leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kwenye mkutano huo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment