Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolf Mkenda (kushoto), akibadilishana hati za mkataba wa msaada wa sh. bilioni 16 na Mwakilishi wa Jumuia ya Ulaya (EU) nchini, Balozi Filiberto Sebregondi, zilizotolewa na Jumuia hiyo kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Mabadiliko ya Tabianchi, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolf Mkenda (kushoto) na mwakilishi wa Jumuia ya Ulaya nchini, Balozi Filiberto Sebregondi, wakitia saini mkataba wa msaada wa shilingi bilioni 16 kwa ajili ya kuisaidia Tanzania kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, Dar es Salaam leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolf Mkenda (kushoto) na wakibweka saini hati za mkataba wa msaada wa sh. bilioni 16 na Mwakilishi wa Jumuia ya Ulaya (EU) nchini, Balozi Filiberto Sebregondi, zilizotolewa na Jumuia hiyo kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Mabadiliko ya Tabianchi, Dar es Salaam leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolf Mkenda (kushoto), wakibadilishana hati za mkataba wa msaada wa sh. bilioni 16 na Mwakilishi wa Jumuia ya Ulaya (EU) nchini, Balozi Filiberto Sebregondi, zilizotolewa na Jumuia hiyo kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia Mabadiliko ya Tabianchi, Dar es Salaam leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolf Mkenda (kushoto), akizungumza wakati wa kutia saini mkataba wa kuisaidia Tanzania sh. bilioni 16, zilizotolewa na jumuia hiyo kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchini. Kulia ni mwakilishi wa Jumuia hiyo nchini, Balozi Filiberto Sebregondi.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, Balozi, Filiberto Sebregondi.
Mwakilishi wa Jumuia ya Ulaya (EU) nchini, Balozi Filiberto Sebregondi, akizungungumza katika hafla hiyo.
Mwakilishi wa Jumuia ya Ulaya (EU) nchini, Balozi Filiberto Sebregondi, akizungungumza katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment