Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akitafuta mbinu ya kumtoka Kapinda Wonder wa Zimbabwe, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zimetoka suluhu katika mchezo huo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akitafuta mbinu ya kumtoka Kapinda Wonder wa Zimbabwe, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, Dar es Salaam leo.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akimtoka Themba Ndlove wa Zimbabwe katika mchezo huo.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akipigakrosi mbele ya Simba Sithole wa Zimbabwe.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akiwa amedondoka chini huku akifuatiwa na Simba Sithole wa Zimbabwe.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akitafuta mbinu ya kumtoka Kapinda Wonder wa Zimbabwe, wakati wa mchezo huo.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akimtoka Kapinda Wonder wa Zimbabwe.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akipiga mpira huku akifuatwa Kapinda Wonder wa Zimbabwe, katika mchezo huo wa kirafiki wa Kimataifa, Dar es Salaam leo.
Hassan Dilunga wa Taifa Stars, akimtoka Kapinda Wonder wa Zimbabwe.
Thomas Ulimwengu wa Taifa Stars, akimpiga chenga Themba Ndlove wa timu ya Taifa ya Zimbabwe.
Thomas Ulimwengu wa Taifa Stars, akitafuta mbinu ya kumpiga chenga Themba Ndlove wa timu ya Taifa ya Zimbabwe.
Thomas Ulimwengu wa Taifa Stars, akitafuta mbinu ya kumpiga chenga Themba Ndlove wa timu ya Taifa ya Zimbabwe katika mchezo huo.
Mrisho Ngassa wa Taifa Stars, akitafuta mbinu ya kumpiga chenga Isaack Masari wa Zimbabwe.
Golikipa wa timu ya Taifa ya Zimbabwe, Kapiwa Kapini, akipangua mpira wa juu uliolekezwa langoni kwake.
Mrisho Ngassa wa Taifa Stars, akipiga krosi mbele ya Ocean Mushere wa Zimbabwe.
Wakati wa mapumziko ubao wa matangazo ulikuwa ukisomeka Tanzania 0 na Zimbabwe 0, hali hiyo iliendelea hadi mwisho wa mchezo huo.
Shomari Kapombe akimzuiya Kundawashe Mahachi wa Zimbabwe katika mchezo huo.
Mbwana Samatta akimtoka Kundawashe Mahachi wa Zimbabwe, wakati wa mchezo huo jijini leo. Hadi mwisho wa mchezo huo, timu hizo hazikuweza kufungana.
Mashabiki wa timu ya Taifa, wakijadili jambo wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment