TANGAZO


Friday, November 22, 2013

TSN yapokea msaada wa Pikipiki 20 kutoka kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akiteta jambo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini, Lu Youqing wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Pikipiki 20 kwa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kwa ajili ya programu ya elimu inayotolewa na magazeti ya Daily News na Habari Leo. Msaada huo umetolewa jana jijini Dar es Salaam na Jumuiya ya wafanyabiasha kutoka China katika Soko la Kariakoo.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akipeana mkono na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Lu Youqing wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Pikipiki 20 kwa kampuni ya magazeti ya Serikali ((TSN) kwa ajili ya programu ya elimu inayotolewa na magazeti ya Dailynews na Habari Leo jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara  akiwa katika moja ya Pikipiki mara baada ya makabidhiano ya msaada huo.Kulia ni Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Lu Youqing
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akivalishwa Helmet na Katibu wake Bwana Juma Mswadiku ikiwa ni ishara ya kutumia usafiri huo uku ukizingatia sharia.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akifurahia baada ya kupanda moja ya Pikipiki baada ya makabidiano. Kulia Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN bwana Gabriel Nderumaki akifurahia
Baadhi ya wafanyakazi wa TSN wakifuatilia hafla ya makabidhiano ya msaada wa vitendea kazi (Pikipiki)  jana jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Frank Shija - WHVUM)

No comments:

Post a Comment