Amri Kiemba wa Simba (kulia), akipiga pasi huku akifuatwa na Fakihi Hakika wa Ashanti United.
Haruna Shamte wa Simba (26), akiruka juu sambamba na Jaffari Gonga wa Ashanti United kuupiga kichwa mpira.
Joseph Mahundi wa Ashanti united, akikokota mpira huku akifuatwa na Ramadhan Singano wa Simba.
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu hiyo na Ashant United, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa Ashanti United wakifurahia bao la kwanza la timu hiyo, lililofungwa na Said Maulid katika mchezo huo dhidi ya Simba, Uwanaja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa Ashanti United wakifurahia bao la kwanza la timu hiyo, lililofungwa na Said Maulid katika mchezo huo dhidi ya Simba, Uwanaja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Henry Joseph wa Simba, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Tumba Sued wa Ashanti United.
Henry Joseph wa Simba, akijaribu kumpigachenga Tumba Sued wa Ashanti United.
Henry Joseph wa Simba, akimtoka Paul Maona wa Ashanti United.
Tumba Sued wa Ashanti United, akiupiga mpira huku akifuatwa na Betram Mombeki wa Simba.
Betram Mombeki wa Simba akiudhibiti mpira huku akifuatwa Hussein Sued wa United.
Betram Mombeki wa Simba na Hussein Sued wa United, wakiuwania mpira.
Betram Mombeki wa Simba na Hussein Sued wa United, wakiukimbilia mpira.
Haruna Shamte wa Simba, akijitayarisha kumpigachenga Hussein Suedi wa Ashanti United.
Haruna Shamte wa Simba, akipiga krosi langoni mwa Ashanti united huku akifuatwa na Hussein Suedi wa timu hiyo.
Mashabiki wa Ashanti United wakifurahia bao la pili la timu hiyo, lililofungwa na Said Maulid katika mchezo huo dhidi ya Simba, Uwanaja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Betram Mombeki akimpongeza Amisi Tambwe baada ya kuipatia timu yao ya Simba bao la tatu katika mchezo dhidi ya Ashanti United.
Betram Mombeki wa Simba akifunga kwa kichwa bao la nne kwa timu yake hiyo, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Betram Mombeki wa Simba akitoka ndani ya nyavu baada ya kuifungia kwa kichwa bao la nne timu yake hiyo, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Betram Mombeki (aliyepiga magoti) na Amisi Tambwe, wote wa Simba wakipongezana baada ya Mombeki kuifungia kwa kichwa bao la nne timu yake hiyo, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Betram Mombeki (aliyepiga magoti) na Amisi Tambwe, wote wa Simba wakipongezana baada ya Mombeki kuifungia kwa kichwa bao la nne timu yake hiyo, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Simba ilishinda kwa mabao 4-2.

No comments:
Post a Comment