Ofisa Mwandamizi wa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Tajudin Kamugisha akitoa mada wakati wa Kongamano la wawekezaji wa sekta ya korosho jijini Dar es Salaam leo, kuhusu mpango wa kuwashirikisha wakulima na kuwawezesha kiuchumi endapo watajiunge na NSSF na kupata mikopo kupitia Vyama vyao vya Ushirika kwa ajili ya kuendeleza mashamba yao. (Picha zote kwa hisani ya Francis Dande wa Habari Mseto Blog)
Ofisa Mwandamizi wa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Tajudin Kamugisha akitoa mada wakati wa kongamano la wawekezaji wa sekta ya korosho jijini Dar es Salaam leo, kuhusu mpango wa kuwashirikisha wakulima na kuwawezesha kiuchumi endapo watajiunge na NSSF na kupata mikopo kupitia Vyama vyao vya Ushirika kwa ajili ya kuendeleza mashamba yao.
Ofisa Mwandamizi Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salvatory Hinju (kulia), akifafanua jambo, kuhusu mpango wa NSSF kuwashirikisha wakulima na kuwawezesha kiuchumi endapo watajiunge na shirika hilo na kupata mikopo kupitia vyama vyao vya ushirika kwa ajili ya kuendeleza mashamba yao. Katikati ni Ofisa Mkuu Operesheni wa NSSF, Juliet Chalamila.

No comments:
Post a Comment