TANGAZO


Tuesday, November 5, 2013

Rais Kikwete akutana uso kwa uso na Uhuru Kenyatta wa Kenya, nchini Afrika Kusini


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini leo Oktoba 5, 2013.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun, jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini leo.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment