TANGAZO


Monday, November 4, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal afungua kongamano la wawekezaji wa sekta ya korosho nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wadau wa Sekta ya Korosho, wakati akiagana nao baada ya kufungua rasmi Kongamano la Sekta ya Korosho nchini. Kongamano hilo lililofunguliwa leo, limefanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho, Mudhihir Mudhihir. (Picha zote na OMR)  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Wawekezaji wa Sekta ya Korosho nchini,lililofanyika jijini Dar es Salaam,leo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
Waziri wa Kilimo, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.
 

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho, Mudhihir Mudhihir, akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Kilimo, kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.
 Makamu wa Rais Dkt.Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi.

No comments:

Post a Comment