TANGAZO


Thursday, October 3, 2013

Tanzania kuwa mwenyeji Mkutano Mkuu wa mwaka wa Vyombo vya Utangazaji vya nchi za SADC


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bw. Clement Mshana, akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mkutano Mkuu wa mwaka wa Vyombo vya Utangazaji vya nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaotarajiwa kufunguliwa rasmi tarehe 21, Octoba 2013 jijini Arusha, ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Kulia ni Mratibu wa Kanda wa Shirika hilo, Bw. Joe Rugarabamu. (Picha na Hassan Silayo-MAELEZO)

No comments:

Post a Comment