Hapa ubao wa matangazo ukionesha Tanzania mabao 3-0, kabla magoli kumiminika zaidi kwenye lango la Wanamsumbiji hao.
Therese Yona wa timu ya Taifa ya Wanawake U-20 (Tanzanite), akimtoka Delice Assane wa Msumbiji, wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa wanawake wa U-20, kati ya timu hizo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa timu ya Taifa ya U-20 ya Msumbiji wakiishangilia timu yao, wakati ilipopambana na timu ya Taifa ya U-20 (Tanzanite Stars), Uwanja wa Taifa, dar es Salaam leo. Tanzanite iliishinda Msumbiji mabao 10-0.
Esperanca Malaita wa Msumbiji, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Therese Yona wa timu ya Taifa ya Wanawake U-20 (Tanzanite), wakati timu hizo, zilipopambana katika mchezo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa Vijana chini ya miaka 20, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Therese Yona wa timu ya Taifa ya Wanawake U-20 (Tanzanite), akimfuata Esperanca Malaita wa Msumbiji, kuuwania mpira huo.
Therese Yona wa timu ya Taifa ya Wanawake U-20 (Tanzanite), akipambana na Esperanca Malaita wa Msumbiji, katika kuuwahi mpira wakati timu hizo, zilipopambana katika mchezo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa Vijana chini ya miaka 20, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Therese Yona wa timu ya Taifa ya Wanawake U-20 (Tanzanite), akimtoka Esperanca Malaita wa Msumbiji, wakati timu hizo, zilipopambana katika mchezo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa Vijana chini ya miaka 20, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Therese Yona wa timu ya Taifa ya Wanawake U-20 (Tanzanite), akiupiga mpira huku akizongwa na Esperanca Malaita wa Msumbiji, wakati timu hizo, zilipopambana katika mchezo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa Vijana chini ya miaka 20, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Shelder Boniface wa timu ya Taifa ya Wanawake U-20 (Tanzanite), akipiga krosi kuelekea golini kwa timu ya Msumbiji huku akizungwa na Cidalia Cuta wa timu hiyo, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa Vijana chini ya miaka 20, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Shelder Boniface wa timu ya Taifa ya Wanawake U-20 (Tanzanite), akitoka kwenye nyavu za goli la timu ya Taifa ya Msumbiji baada ya kuifungia Tanzanite bao la 4, huku akiangaliwa na beki wa timu hiyo, Jessica Zunguene, wakati wa mchezo huo, wa kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa Vijana chini ya miaka 20, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Ubao wa matangazo ukionesha Tanzania mabao 4, Msumbiji 0.
Mashabiki wa timu ya Tanzanite Stars, wakifuatilia mchezo huo, uwanjani hapo.
Waamuzi wa mchezo huo, wakitoka uwanjani mara baada ya kupuliza kipenga cha mapumziko katika mchezo huo, uwanjani hapo leo.
|
No comments:
Post a Comment