TANGAZO


Saturday, October 26, 2013

Mabondia wapima uzito kwa ajili ya mpambano wa Jumapili


Mabondia Ramadhani Shauri (kushoto) na Cosmas Cheka wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao, utakaofanyika Oktoba 27, 2013 katika ukumbi wa Friends Corner, Manzese jijini Dar es Salaam. (Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Bondia Cosmas Cheka, akipima uzito huku mpinzani wake Ramadhani Shauri, akiangalia kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika 27,10, 2013, ukumbi wa Frinds Corner, Manzese.


 
Bondia Ramadhani Shauri, akipimwa uzito huku Cosmas C heka akiangalia kwa umakini mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 ukumbi wa Friends Corna Manzese.

Bondia Nohammed Matumla akipimwa uzito na afya kwa ajili ya mpambano wao, utakaofanyika kesho ukumbi wa Friend's Corner kesho.


No comments:

Post a Comment