TANGAZO


Saturday, October 26, 2013

Benki ya KCB Tanzania yatoa msaada wa meza na viti 131 Oysterbay

Baadhi ya wanafunzi wa sekondari ya Oysterbay  jijini Dar es Salaam, wakibeba viti na meza mara baada ya kukabidhiwa msaada huo na benki ya KCB Tanzania. Jumla ya meza na viti 131 vilitolewa msaada katika shule hiyo.
Baadhi ya wanafunzi wa sekondari ya Oysterbay, jijini Dar es Salaam, wakibeba viti na meza mara baada ya kukabidhiwa msaada huo na benki ya KCB Tanzania. Jumla ya meza na viti 131 vilitolewa msaada katika shule hiyo.
Meneja Uhusiano ya Umma wa benki ya KCB Tanzania, Hellen Siria akisalimiana na  mmoja wa wanafunzi wa Sekondari ya Oysterbay jijini Dar es Salaam, alipofika shuleni hapo kuwakabidhi msaada wa meza na viti 131, vyote vikiwa na thamani ya shilingi Milioni 121. Vifaa hivyo vimetolewa msaada na benki yake hiyo.
Meneja Uhusiano ya Umma wa Benki ya KCB Tanzania, Hellen Siria akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Oysterbay Gradius Mhina msaada wa meza na viti 131, vilivyotolewa na benki hiyo. Wanaoshuhudia ni wanafunzi wa sekondari hiyo. Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi Milioni 121 yalitolewa  msaada katika shule za msingi za Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni, Hananasifu, Msasani B, Sinza na Sekondari ya Oysterbay, zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment