TANGAZO


Thursday, October 10, 2013

Rais Shein aonana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha Jamhuri ya Watu wa China


IMG_2221 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto), akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha Jamhuri ya Watu wa China, Comrade Ai Pin, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (wa pili kulia), Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na Asha Rose Migiro, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.

IMG_2236

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha Jamhuri ya Watu wa China Comrade Ai Pin, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment