TANGAZO


Thursday, October 10, 2013

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)Hiiti Sillo azungumza kuhusu taarifa ya matokeo ya operesheni Giboia

Picha na 2

Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)Hiiti Sillo (kulia) akiongea  na waandishi wa habari  (hawapo pichani) juu ya mafanikio na changamoto  wanazokutana nazo Mamlaka wakati wa utekelezaji majukumu yao hususani katika operesheni  Giboia  iliyofanyika tarehe 1 hadi 3 mwezi Oktoba mwaka huu nchini, kushoto ni Mkurugenzi wa Dawa na Vipodozi bwana Adam Fimbo.

Picha na 3 

Mkurugenzi  wa  Upelelezi  wa  Makosa  ya  Jinai Kamishna  Robert  Manumba  akizungumza na waandishi wa habari  (hawapo pichani) kuhusu taarifa ya matokeo  ya operesheni  Giboia iliyofanyika tarehe 1 hadi 3 mwezi Oktoba mwaka huu nchini.

Picha na 4

Baadhi ya maofisa wa TFDA wakiwa katika mkutano huo.

Picha na 5

Waandishi wa habari  wakimfuatilia kwa makini Mkurugenzi  wa  Upelelezi  wa  Makosa  ya  Jinai Kamishna  Robert  Manumba  (hayupo pichani) wakati akitoa taarifa ya matokeo  ya operesheni  Giboia  katika ofisi za Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) leo jijini Dar Es Salaam.

Picha na 6

Baadhi ya dawa. 

Picha na 7

Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)Hiiti Sillo (wapili  kulia) akimuonesha dawa bandia zilizokamatwa wakati wa operesheni Giboia, Kulia ni Mkurugenzi  wa  Upelelezi  wa  Makosa  ya  Jinai Kamishna  Robert  Manumba. 

Picha na 8

Msemaji wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) akieleza jambo kwa Mgeni Rasmi Mkurugenzi  wa  Upelelezi  wa  Makosa  ya  Jinai Kamishna  Robert  Manumba jinsi Mamlaka ya Chakula na Dawa inavyotekeleza majukumu yake. (Picha zote na Eliphace Marwa-Maelezo) 

No comments:

Post a Comment