TANGAZO


Thursday, October 10, 2013

Mabalozi wa EU watembelea Ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora

01 Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento, Jaji Kiongozi Mstaafu (kulia) akisisitiza jambo leo ofisi za tume hiyo alipotembelewa na Mabalozi wa Umoja wa Ulaya (EU) leo jijini Dar es Salaam ambapo dunia inaadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani.  Mkuu wa Mabalozi wa (EU) Filiberto Sebregondi.
02

Mkuu wa Mabalozi wa EU nchini Filiberto Sebregondi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)na ujumbe wa Mabalozi wa Umoja huo (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam. Ugeni huo ulifanya ziara hiyo wakati dunia leo inaadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani.  Kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji Kiongozi Mstaafu) 

03

Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento, Jaji Kiongozi Mstaafu (hayupo pichani) walipotembelea za tume hiyo leo jijini Dar es Salaam ambapo dunia inaadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani.  Wa kwanza ni Balozi wa Uingereza nchini Dianna Merlrose. 

05 

Balozi wa Swiden nchini Lennanrth Hjelmarker (kushoto) akimsikiliza na kunukuu baadhi ya maelezo ya Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento, Jaji Kiongozi Mstaafu (hayupo pichani) walipotembelea za tume hiyo leo jijini Dar es Salaam ambapo dunia inaadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani.  Kulia ni Balozi wa Uholanzi nchini Jaap Frederiks. 

06

Baadhi ya Mabalozi walipotembelea za ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento, Jaji Kiongozi Mstaafu (aliyesimama) leo jijini Dar es Salaam ambapo dunia inaadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani. (Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

No comments:

Post a Comment