Ofisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya
Ilala, Tabu Shaibu (kulia), akieleza kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika utoaji wa huduma za Afya ikiwa ni pamoja na
kuboresha Miundombinu ya afya katika manispaa hiyo, wakati wa mkutano
uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Dkt. Asha Mahita.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala, Dkt. Asha
Mahita (kushoto) akitoa tahadhari kwa wananchi kupitia waandishi wa
habari (hawapo pichani), kuacha tabia ya kufungua makaro ya maji machafu kipindi
cha Mvua ili kuepuka magonjwa ya mlipuko, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa manispaa hiyo, Tabu Shaibu. (Picha zote na Hassan Silayo-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment