TANGAZO


Tuesday, October 29, 2013

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal ashiriki ibada ya mazishi ya Askofu, Mhasham Raymond

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka shada la maua juu ya kaburi ya Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya Askofu Mstaafu, Mhasham Raymond Mwanyika, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo katika Kanisa Katoliki Njombe

 Makamu wa Rais, Dkt Bilal, akitoa heshima za mwisho


No comments:

Post a Comment