TANGAZO


Tuesday, October 1, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Bilal ahudhuria Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wazee waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, baada ya kuhutubia katika sherehe hizo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mandu, Korogwe Mkoani Tanga leo Okt. 01, 2013. (Picha zote na OMR)
 Akivishwa vazi la Asili.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wazee.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani,yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Mandu, Korogwe Mkoani Tanga leo Okt. 01, 2013.

No comments:

Post a Comment