TANGAZO

Tuesday, October 15, 2013

Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Nyerere Day, yafanyika mjini Dodoma

Balozi mstaafu Jobu Lusinde akifafanua jambo mbele ya wananchi waliokusanyika kushuhudia maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere kilichotokea mika 14, iliyopita yaliyofanyika katika Viwanja vya Nyerere, mjini Dodoma jana.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani (wa tatu kushoto), akiwa pamoja na viongozi mbalimbali walipokuwa katika maadhimisho ya miaka 14 ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere, yaliyofanyika katika Viwanja vya Nyerere Squere, mjini Dodoma jana.
Wanachi waliohudhuria maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Julias Kambarage Nyerere, wakifuatilia jambo wakati maadhimisho hayo, yakiendelea mjini Dodoma jana.
Mbunge wa kwanza wa Jimbo la Kati, Askofu Dk. Saimon Chiwanga, akiwaonesha wananchi kisiki kilichochipua majani  mabichi na kuwaelezea namna ya kutunza visiki vya miti ya asili bila kuipoteza wakati alipokuwa akitoa ushuhuda wa namna alivyomjua Hayati Mwalimu Nyerere katika maadhimisho yake, yaliyofanyika mjini Dodoma jana.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani (wa pili kulia), akiwa pamoja na viongozi mbalimbali walipokuwa katika maadhimisho ya miaka 14 ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere, yaliyofanyika katika Viwanja vya Nyerere Squere,  mjini Dodoma jana. (Picha zote na John Banda)

No comments:

Post a Comment