*Yalala kwa kufungwa mabao 2-1
Aggrey Morris wa Azam FC, akiumiliki mpira wakati wa mchezo huo, huku akifuatwa na Zahor Pazi wa Simba.
Zahor Pazi wa Simba (kushoto), akipambana na Aggrey Morris wa Azam FC, wakati wa mchezo huo, leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Erasto Nyoni wa Azam FC, akimtoka Amri Kiemba wa Simba wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Erasto Nyoni wa Azam FC, akimtoka Amri Kiemba wa Simba wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Joseph Kimwaga (kulia) wa Azam FC, akipiga mpira mbele ya Issa Rashid wa Simba.
Issa Rashid wa Simba, akimpiga chenga Joseph Kimwaga (kushoto) wa Azam FC, wakati wa mchezo huo leo Uwanja wa Taifa, Dr es Salaam.
Issa Rashid wa Simba, akipambana na Erasto Nyoni wa Azam FC, wakati wa mchezo huo, leo Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Issa Rashid wa Simba, akidondoka chini huku Erasto Nyoni wa Azam FC, akimtoka, leo Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Issa Rashid wa Simba, akiachwa nyuma na Erasto Nyoni wa Azam FC, wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Issa Rashid wa Simba, akiachwa nyuma na Erasto Nyoni wa Azam FC, wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Issa Rashid wa Simba, akijaribu kumzuia Erasto Nyoni wa Azam FC, wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Issa Rashid wa Simba, akijaribu kumzuiya Joseph Kimwaga wa Azam FC, wakati wa mchezo huo, leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akijaribu kumpiga chenga Waziri Salum wa Azam FC.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akijaribu kumpiga chenga David Mwantika wa Azam FC.
Hapa ubao wa matangazo ukionesha Simba 1 na Azam FC 2.
Golikipa wa Azam FC, Mwadini Ali, akiruka kuudaka mpira vichwani mwa wachezaji wa Simba na Azam karibu na lango lake.
Golikipa wa Azam FC, Mwadini Ali, akiruka kuudaka mpira mbele ya Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba wakati wa mchezo huo.
Waamuzi wa mchezo huo pamoja na wachezaji wa Azam wakitoka nje ya Uwanja baada ya kupuliza filimbi ya kumaliza mchezo huo, uwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment