Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini Lephy Gembe akiendesha moja ya pikipiki zilizotolewa na Benki ya NMB ili kuchangia hatua za serikali za kuhakikisha jeshi la polisi linakuwa na usafiri wa uhakiki kwa ajiliya matukio ya kiuhalif\u kwenye uzinduzi wa ulinzi shirikishi tarafa. |
Vijana walihamasika na kujiunga na ulinzi shirikishi waonyesha namna ya kupambana na waharifu pindi wanapokumbana uso kwa uso wakati wa uzinduzi wa polisi jamii kwa tarafa ya mjini iliyozihusisha kata za hombolo, kikombo, zuzu
Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Lephy Gembe akimkabidhi polisi tarafa polisi tarafa George Andala moja ya mizinga 50 iliyotolewa na mdau wa polisi jamii Diwani wa kata ya Tambukareli Adamu Perugina kwa ajili ya kuinua uchumi wa kitengo hicho cha ulinzi shirikishi.
|
Vijana walihamasika na kujiunga na ulinzi shirikishi waonyesha namna ya kupambana na waharifu pindi wanapokumbana uso kwa uso wakati wa uzinduzi wa polisi jamii kwa tarafa ya mjini iliyozihusisha kata za hombolo, kikombo, zuzu
Vijana walihamasika na kujiunga na ulinzi shirikishi waonyesha namna ya kupambana na waharifu pindi wanapokumbana uso kwa uso wakati wa uzinduzi wa polisi jamii kwa tarafa ya mjini iliyozihusisha kata za hombolo, kikombo, zuzu
|
Mkuu wa polisi Wilaya ya Dodoma Mjini Tadei Malingum akiwaonyesha viongozi wa serekali wilaya ya Dodoma mjini Pikipiki 3 zilizotolewa zilizotolewa na wadau wa polisi jamii ikiwemo Benki ya NMB kwa ajili ya ulinzi shirikisha Tarafa ya manispaa. (Picha zote na John Banda-Dodoma) |
No comments:
Post a Comment