Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ( kulia) akisalimiana na Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole (kushoto) kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ( kulia) akisalimiana na Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole (kushoto) kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kulia), akizungumza na mama mzazi wa Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole, Partricia Oduwole (kushoto) kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini jijini Dares Salaam. Aliyebebwa ni Ismachiah mdogo wake na Zuriel.
Picha namba 7487 ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (katikati) akiwa na Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole (kulia ) wengine aliyevaa nguo ya njano ni Azaliah na pinki ni Arielle ambao ni wadogo zake na Zuriel, kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisisitiza jambo kwa Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole, kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea jana jioni jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimwonesha T-sheti yenye nembo ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimvalisha T-sheti yenye nembo ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole ikiwa ni ishara ya kumteua kuwa balozi wa WAMA, alipoitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa uboreshaji afya – WAMA Dk. Sarah Maongezi .
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimuonyesha Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole kinyago kinachoonyesha umoja wa watanzania wakati balozi huo alipozitembelea ofisi za WAMA hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimwonesha khanga iliyobuniwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel yenye maandishi ya ‘mtoto wa mwenzio ni mwanao mkinge na ukimwi’ kwenye ofisi za mara baada kuitembelea ofisi hiyo jana jioni jijini Dares Salaam.
(Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)
No comments:
Post a Comment