Bondia Julius Kisarawe, akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Rogat Mkude wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa sikukuu ya Idi Hal Haj katika ukumbi wa Samunge uliopo Mbezi kwa Msuguri, Dar es Salaam jana. Kisarawe alishinda kwa point katika mchezo huo. (Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
|
No comments:
Post a Comment