TANGAZO


Thursday, July 18, 2013

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein aufungua Msikiti wa Masjid Al Aqsa, Bambi Kijibwe Mtu, Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wazee wa Kijiji cha Kijibwe Mtu, Bambi Wilaya ya Kati, Jimbo la Uzini Unguja, alipofika kuufungua Msikiti wa Masjid Al Aqsa), uliojengwa kwa ufadhili wa Sheikh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mohamed Raza Daramsi. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Msikiti wa Masjid Al Aqsa katika Kijiji cha Kijibwe Mtu, Bambi Wilaya ya Kati, Jimbo la Uzini Unguja, uliojengwa kwa ufadhili wa Sheikh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mohamed Raza Daramsi (kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya
ufunguzi wa Msikiti masjid Al Aqsa katika Kijiji cha Kijibwe Mtu, Bambi Wilaya ya Kati, Jimbo la Uzini Unguja, uliojengwa kwa ufadhili wa Sheikh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mohamed Raza Daramsi (kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) alipokuwa akiutembelea Msikiti wa Masjid Al Aqsa katika Kijiji cha Kijibwe Mtu, Bambi Wilaya ya Kati, Jimbo la Uzini Unguja, mara baada ya kuufungua rasmi msikiti huo, uliojengwa kwa ufadhili wa Sheikh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mohamed Raza
Daramsi.   
Wananchi na waislamu waliohudhuria katika Sherehe ya ufunguzi wa Msikiti wa Masjid Al Aqsa katika Kijiji cha
Kijibwe Mtu, Bambi Wilaya ya Kati, Jimbo la Uzini, Unguja, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), alipokuwa akizungumza nao na kuwapa nasaha katika kuuenzi msikiti huo, uliojengwa kwa ufadhili wa Sheikh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mohamed Raza Daramsi.
Msimamizi wa Ujenzi wa Msikiti wa  Bambi katika Kijiji cha Kijibwe Mtu, ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, Mohamed Raza Daramsi, akizungumza alipokuwa akiwaasa wananchi na waislamu wa kijiji hicho, jinsi ya kuutunza msikiti huo na kuufanya pawe ndio chanzo cha Elimu ya Quran. Msikiti huo umejengwa kwa ufadhili wa Sheikh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waislamu na
wananchi wa Kijiji cha Kijibwe Mtu, Bambi Jimbo la Uzini Wilaya ya Kati, Unguja leo, wakati wa ufunguzi wa Msikiti wa Masjid Al Aqsa, uliojengwa kwa ufadhili wa Sheikh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mohamed Raza Daramsi.

No comments:

Post a Comment