TANGAZO


Friday, July 19, 2013

Rais Kikwete akutana na Mwenyekiti wa CUF, Professa Lipumba Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na  Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba alipokutana naye Ikulu na kufanya naye mazungumzo, jijini Dar es Salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ya Siasa na Uchumi nchini. (Picha zote na Freddy Maro)
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ya Siasa na Uchumi nchini. 
Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (kulia), akimsindikiza mgeni wake, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kukutana naye na kufanya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ya Siasa na Uchumi nchini.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mgeni wake, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ya Siasa na Uchumi nchini.

No comments:

Post a Comment