TANGAZO


Friday, July 19, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal afungua mkutano wa pamoja kati ya Taasisi ya Serikali na Sekta Binafsi za uwekezaji mkoani Tabora

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo, Julai 19, 2013 kwa ajili ya kufungua mkutano wa pamoja kati ya Taasisi za Serikali na Sekta Binafsi, kuhusu uwekezaji mkoani Tabora. Mkutano huo umefanyika leo jijini Dar. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa (kulia) ni Julieth Kairuki. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizindua Jarida maalum la Vivutio vya Uwekezaji vya mkoani Tabora, baada ya kufungua rasmi mkutano wa pamoja kati ya Taasisi za Serikali na Sekta Binafsi, kuhusu uwekezaji mkoani Tabora, uliofanyika jijini Dar es Salaam, leo Julai 19, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa (wa pili kulia) ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta na Julieth Kairuki.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua mkutano wa pamoja kati ya Taasisi za Serikali na Sekta Binafsi, kuhusu uwekezaji mkoani Tabora, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais Dk. Bilal, kufungua mkutano huo.
Julieth Kairuki, akizungumza.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dk. Bilal, wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifurahia moja hotuba iliyouwa ikitolewa na Makamu wa Rais, Dk. Bilal, wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais, Dk. Bilal, wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dk. Bilal, wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.
Makamu wa Rais, Dk. Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Makamu wa Rais, Dk. Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment