Rais Kikwete afungua mkutano wa Wake wa Marais wa Afrika ya Mashariki, Rais mstaafu wa Marekani, George Bush, mkewe Laura na mke wa Tony Blair wahudhuria
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Marekani George W. Bush na mkewe Laura, mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa Marais wa Afrika Mashariki leo, July 2, 2013, Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Ikulu)
Wageni mbalimbali, wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete, wakati akiufungua mkutano wa wake wa Marais wa Afrika Mashariki leo, July 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiufungua mkutano wa wake wa Marais wa Afrika Mashariki leo, July 2, 2013, Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment