TANGAZO


Saturday, July 27, 2013

Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango: Utekelezaji wa Dira ya 2025 ni jukumu letu sote

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga akionesha kwa waandishi wa habari kijitabu cha Dira ya Taifa ya Maendeleo hadi kufikia 2025, wakati wa mkutano na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Frank Mvungi-MAELEZO)
 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bi. Joyce Mkinga akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na utekelezaji wa dira ya Taifa ya Maendeleo hadi kufikia 2025 wakati wa mkutano na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Habari toka Idara ya Habari, Bi. Fatma Salum.




No comments:

Post a Comment