TANGAZO


Wednesday, July 3, 2013

Kundi la RAGNAROCK kutoka Denmark kushirikiana na Ngoma Afrika kuburudisha mikoa mbalimbali nchini

Wasanii wa kundi la muziki la RAGNAROCK kutoka Denmark, wakionesha kwa waandishi wa habari igizo lao linalojulikana kwa jina la Mtabiri, wakati wasanii hao, kwa kushirikiana na kundi la Ngoma Afrika, walipozungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maonesho yao ya pamoja waliyoyapachika jina la Ragnarock, Denmark/Ngoma Afrika, Tanzania Youth Culture Exchange Programme-Tanzania Tour 2013, ambapo kesho watafanya onesho lao, jijini Chuo cha Uandishi wa Habari cha DSJ na kisha kwenye Mikoa mbalimbali nchini. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wasanii wa kundi la muziki la RAGNAROCK kutoka Denmark, wakionesha kwa waandishi wa habari igizo lao linalojulikana kwa jina la Mtabiri, Dar es Salaam leo. Wasanii hao kwa kushirikiana na kundi la Ngoma Afrika, watafanya maonesho mbalimbali nchini waliyoyapachika jina la Ragnarock, Denmark/Ngoma Afrika, Tanzania Youth Culture Exchenge Programme-Tanzania Tour 2013, kwenye Mikoa mbalimbali nchini.
Wasanii wa kundi la muziki la RAGNAROCK kutoka Denmark, wakiwaonesha waandishi wa habari igizo hilo, wakati walipozungumza nao kuhusu kuwepo kwao nchini.
Wasanii wa kundi la muziki la RAGNAROCK kutoka Denmark, wakitumbiza wakiwa katika igizo hilo. Wasanii hao kwa kushirikiana na kundi la Ngoma Afrika, watafanya maonesho mbalimbali nchini waliyoyapachika jina la Ragnarock, Denmark/Ngoma Afrika, Tanzania Youth Culture Exchenge Programme-Tanzania Tour 2013, kwenye Mikoa mbalimbali nchini.
Wasanii wa kundi la RAGNAROCK kutoka Denmark, wakiburudisha kwa igizo hilo. Wasanii hao kwa kushirikiana na kundi la Ngoma Afrika, watafanya maonesho mbalimbali nchini waliyoyapachika jina la Ragnarock, Denmark/Ngoma Afrika, Tanzania Youth Culture Exchenge Programme-Tanzania Tour 2013, kwenye Mikoa mbalimbali nchini.
Wasanii wa kundi la RAGNAROCK kutoka Denmark, wakionesha mitindo mbalimbali wakati wakiburudisha kwa igizo hilo. Wasanii hao kwa kushirikiana na kundi la Ngoma Afrika, watafanya maonesho mbalimbali nchini waliyoyapachika jina la Ragnarock, Denmark/Ngoma Afrika, Tanzania Youth Culture Exchenge Programme-Tanzania Tour 2013, kwenye Mikoa mbalimbali nchini.
Wasanii wa kundi hilo la RAGNAROCK kutoka Denmark, wakionesha mitindo mbalimbali wakati wakiburudisha kwa igizo hilo. Wasanii hao kwa kushirikiana na kundi la Ngoma Afrika, watafanya maonesho mbalimbali nchini waliyoyapachika jina la Ragnarock, Denmark/Ngoma Afrika, Tanzania Youth Culture Exchenge Programme-Tanzania Tour 2013, kwenye Mikoa mbalimbali nchini.
Wasanii wa kundi la RAGNAROCK kutoka Denmark, wakiendelea kutoa burudani ya igizo hilo. Wasanii hao kwa kushirikiana na kundi la Ngoma Afrika, watafanya maonesho mbalimbali nchini waliyoyapachika jina la Ragnarock, Denmark/Ngoma Afrika, Tanzania Youth Culture Exchenge Programme-Tanzania Tour 2013, kwenye Mikoa mbalimbali nchini.
Wasanii wa kundi la RAGNAROCK kutoka Denmark, wakiimba moja ya wimbo ulio kwenye igizo hilo, wakati wakiwaonesha waandishi wa habari igizo lao hilo, jijini leo. Wasanii hao kwa kushirikiana na kundi la Ngoma Afrika, watafanya maonesho mbalimbali nchini waliyoyapachika jina la Ragnarock, Denmark/Ngoma Afrika, Tanzania Youth Culture Exchenge Programme-Tanzania Tour 2013, kwenye Mikoa mbalimbali nchini.
Wasanii wa kundi la RAGNAROCK kutoka Denmark, wakiburudisha waandishi wa habari, wakati walipoongea nao kuhusu maonesho yao kwenye Mikoa mbalimbali nchini. Wasanii hao kwa kushirikiana na kundi la Ngoma Afrika, watafanya maonesho mbalimbali nchini waliyoyapachika jina la Ragnarock, Denmark/Ngoma Afrika, Tanzania Youth Culture Exchenge Programme-Tanzania Tour 2013, kwenye Mikoa mbalimbali nchini.
Kiongozi wa kundi la muziki la RAGNAROCK kutoka Denmark, Joachim Clausen, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maonesho yao ya pamoja na kundi la Ngoma Afrika, watakayoyafanya katika mikoa mbalimbali nchini kuanzia kesho. Safari yao hiyo ya maonesho, wameipachika jina la Ragnarock, Denmark/Ngoma Afrika, Tanzania Youth Culture Exchenge Programme-Tanzania Tour 2013. Kushoto ni Kiongozi wa kundi la Ngoma Afrika, David Kitururu.

No comments:

Post a Comment