TANGAZO


Wednesday, July 3, 2013

Zawadi Redd's Miss Temeke 2013 zatangazwa

Baadhi ya warembo hao, wakiwa katika mkutano huo, kwenye Mgahawa wa City Sport Lounge, jijini Dar es Salaam leo. 
 Baadhi ya warembo hao, wakiwa katika mkutano huo, ndani ya Mgahawa wa City Sport Lounge, jijini Dar es Salaam leo. 
Mkurugenzi wa Kampuni ya BMP Promosion, inayoandaa shindano la kumsaka mrembo huyo, Beny Kisaka (kushoto),  akitangaza zawadi kwa washindi wa Redd's Miss Temeke 2013, ukumbi wa City Sport Lounge, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzani, Albert Makoye.
Baadhi ya warembo watakaopambana katika kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo wa Redd's Miss Temeke 2013, wakiwa wamepozi wakati wa mkutano huo wa kutangaza zawadi kwa washindi wa shindano hilo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya BMP Promosion, inayoandaa shindano la kumsaka mrembo huyo, Beny Kisaka,  akitangaza zawadi kwa washindi wa Redd's Miss Temeke 2013 katika ukumbi wa mgahawa wa City Sport Lounge, Dar es Salaam leo. Kulia 
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzani, Albert Makoye (kulia), akizungumza kwenye mkutano huo na waandishi wa habari. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya BMP Promosion, inayoandaa shindano la kumsaka mrembo huyo, Beny Kisaka.
Mkurugenzi wa Kampuni ya BMP Promosion, inayoandaa shindano la kumsaka mrembo huyo, Beny Kisaka (katikati), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo wa kutangaza zawadi kwa washindi. Kushoto ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ben Paul, ambaye atatumbuiza katika onesho la kumsaka Redd's Miss Temeke 2013, keshokutwa, ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzani, Albert Makoye na nyuma yao ni wanyange wa mpambano huo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ben Paul, akielezea jinsi atakavyotumbuiza katika onesho la kumsaka Redd's Miss Temeke 2013, keshokutwa, ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe, wakati Mkurugenzi wa Kampuni ya BMP Promosion, inayoandaa shindano la kumsaka mrembo huyo, Beny Kisaka (katikati), alipokuwa akitangaza zawadi kwa washindi, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzani, Albert Makoye na nyuma yao ni wanyange wa mpambano huo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ben Paul, akiimba moja ya nyimbo zake atakazoziimba wakati wa onesho la kumsaka Redd's Miss Temeke 2013, keshokutwa, ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe, jijini Dar es Salaam, wakati wa shindano la kumsaka mrembo huyo.
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzani, Albert Makoye (kulia), akifafanua jambo katika mkutano huo na waandishi wa habari. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya BMP Promosion, inayoandaa shindano la kumsaka mrembo huyo, Beny Kisaka.
Kiongozi wa bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta, Lwiza Mbutu, akielezea jinsi watakavyoburudisha katika onesho la kumsaka Redd's Miss Temeke 2013, keshokutwa, ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe, wakati Mkurugenzi wa Kampuni ya BMP Promosion, inayoandaa shindano la kumsaka mrembo huyo, Beny Kisaka (katikati), alipokuwa akitangaza zawadi kwa washindi, Dar es Salaam leo. 
Amigo 'Amigolas', mwimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta, akiimba moja ya nyimbo za bendi hiyo, ambayo itatumbuiza kwenye onesho la kumsaka Redd's Miss Temeke 2013, keshokutwa, ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe, jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment