Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein akivishwa Shada la maua na mtoto Salma Issa Ali, hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kurejea nchini akitokea nchini China kwa ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, mara baada ya kuwasili akitokea nchini China kwa ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili akitokea nchini China kwa ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia ngoma ya kibati iliyokuwa ikichezw na wanakikundi wa Amani Mkoa, waliofika Uwanja wa Ndege kumpokea, akitokea nchini China kwa ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohd Shein akizungumza na waandishi wa habari, hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili, akitokea nchini China kwa ziara ya Kiserikali.
No comments:
Post a Comment