Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa
Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel, jijini
Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa
Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini
Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa
Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini
Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka mara baada ya kuhutubia mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake, wakitembezwa
kuangalia bandari ya Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiangalia
bandari ya Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya
Watanzania waishio Singapore, alipokutana nao, leo Juni 5,
2013 katika Hoteli ya Swissotel, jijini Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Watanzania
waishio Singapore alipokutana nao, leo Juni 5, 2013 katika
hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akipiga picha ya kumbukumbu na
Watanzania waishio nchini Singapore, alipokutana nao, leo
Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel, jijini Singapore. Kulia ni
Balozi wa Tanzania nchini Singapore, Injinia John Kijazi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili Istana (Ikulu ya Rais), leo Juni 5, 2013 huku mwenyeji wake, Rais wa Singapore, Dk. Tony Keng Yam akiwa pembeni yake baada ya kumlaki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na mwenyeji
wake, Rais wa Singapore, Dk. Tony Keng Yam, alipokutana
naye Istana (Ikulu) ya Singapore, leo Juni 5, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na
mwenyeji wake, Rais wa Singapore, Dk. Tony Keng Yam
alipokutana naye Istana (Ikulu) ya Singapore, leo Juni 5,
2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na mwenyeji wake,
Rais wa Singapore, Dk. Tony Keng Yam alipokutana naye
Istana (Ikulu) ya Singapore, leo Juni 5, 2013.
No comments:
Post a Comment