Maofisa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Forolentina Malamsha (kushoto) na Husna Kaniki (wa pili kushoto), wakisimamia zoezi la kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na watendaji wa serikali hizo mkoani Dar es Salaam, wakati wa mkutano wao wa kujadili usafi wa jiji, uliofunguliwa na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki jijini leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na watendaji wa serikali hizo, mkoani Dar es Salaam, wakiwa katika mkutano wao wa kujadili usafi wa jiji, mkutano uliofunguliwa na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki jijini leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza na Wenyeviti wa Serikali za mitaa na watendaji wa serikali hizo, wakati alipokuwa akiufungua mkutano wao wa kujadili hali ya usafi wa jiji la Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi na kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa, Theresia Mbando. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza na Wenyeviti wa Serikali za mitaa na watendaji wa serikali hizo, wakati alipokuwa akiufungua mkutano wao wa kujadili hali ya usafi wa jiji la Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi na kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa, Theresia Mbando.
Baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na watendaji wa serikali hizo, mkoani Dar es Salaam, wakiwa katika mkutano wao wa kujadili usafi wa jiji, mkutano uliofunguliwa na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki jijini leo.
Baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na watendaji wa serikali hizo, mkoani Dar es Salaam, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki wakati alipokuwa akiufungua mkutano wao wa kujadili usafi wa jiji, jijini leo.
Baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na watendaji wa serikali hizo, mkoani Dar es Salaam, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki wakati alipokuwa akiufungua mkutano wao wa kujadili usafi wa jiji la Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza na Wenyeviti wa Serikali za mitaa na watendaji wa serikali hizo, wakati alipokuwa akiufungua mkutano wao wa kujadili hali ya usafi wa jiji la Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi na kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa, Theresia Mbando.
Mdhibiti wa Taka wa Jiji la Dar es Salaam, Membe Protus, akitoa taarifa ya hali ya uzalishaji na usafishaji wa jiji hilo, wakati wa mkutano wa kujadili hali ya usafi wa jiji leo. Mkutano huo, uliofunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (wa pili kushoto), akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Moshi (wa tatu), pamoja na baadhi ya watendaji wengine mkoani Dar es Salaam, wakimsikiliza Mdhibiti wa Taka wa Jiji la Dar es Salaam, Membe Protus, wakati alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya uzalishaji na usafishaji wa jiji hilo katika mkutano huo. Baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na watendaji wa serikali hizo, mkoani Dar es Salaam, wakimsikiliza Mdhibiti wa Taka wa Jiji la Dar es Salaam, Membe Protus, wakati alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya uzalishaji na usafishaji wa jiji hilo katika mkutano wao wa kujadili usafi wa jiji, mkutano uliofunguliwa na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki leo.
Baadhi ya Watendaji Wakuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa kwenye mkutano huo, wakimsikiliza Mdhibiti wa Taka wa Jiji la Dar es Salaam, Membe Protus, wakati alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya uzalishaji na usafishaji wa jiji hilo leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (wa pili) pamoja na baadhi ya watendaji wakuu wa mkoa huo, wakimsikiliza Mdhibiti wa Taka wa Jiji la Dar es Salaam, Membe Protus, wakati alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya uzalishaji na usafishaji wa jiji hilo leo.
No comments:
Post a Comment