Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Vijana Afrika (YOA), Awadh Milasi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu utambulisho wa tuzo za vipaji kwa vijana, ijulikanayo kwa jina la 'Under -30 Youth Awards 2013. Tuzo hiyo itatolewa kwa vijana wenye vipaji vya kipekee nchini. Kulia ni Mtunza Fedha wa YOA, Mushumba Avitus.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo leo wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa YOA, Awadhi Milasi wakati alipokuwa akizungumza nao kuhusu tuzo za vipaji kwa vijana.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo leo, wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa YOA, Awadhi Milasi, alipokuwa akizungumza nao kuhusu utambulisho wa tuzo za vipaji kwa vijana ya Under -30 Youth Awards 2013 jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Vijana Afrika (YOA), Awadh Milasi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu utambulisho wa tuzo za vipaji kwa vijana, ijulikanayo kwa jina la 'Under -30 Youth Awards 2013. Tuzo hiyo itatolewa kwa vijana wenye vipaji vya kipekee nchini. Kulia ni Mtunza Fedha wa YOA, Mushumba Avitus.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Vijana Afrika (YOA), Awadh Milasi, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa utambulisho wa tuzo za vipaji kwa vijana, ijulikanayo kwa jina la 'Under -30 Youth Awards 2013. Tuzo hiyo itatolewa kwa vijana wenye vipaji vya kipekee nchini. Kulia ni Mtunza Fedha wa YOA, Mushumba Avitus.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Vijana Afrika (YOA), Awadh Milasi, akizungumza katika mkutano huo na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu utambulisho wa tuzo za vipaji kwa vijana, ijulikanayo kwa jina la 'Under -30 Youth Awards 2013. Kulia ni Mtunza Fedha wa YOA, Mushumba Avitus.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa kwenye mkutano huo leo, wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa YOA, Awadhi Milasi, alipokuwa akizungumza nao kuhusu utambulisho wa tuzo za vipaji kwa vijana ya Under -30 Youth Awards 2013 jijini Dar es Salaam leo.
Mtunza Fedha wa YOA, Mushumba Avitus, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kwenye mkutano huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Vijana Afrika (YOA), Awadh Milasi.
No comments:
Post a Comment