TANGAZO


Thursday, May 16, 2013

Warsha ya mafunzo kwa Watendaji wa Elimu kuhusu Tatizo la rushwa katika Idara ya Elimu na madhara yake, yafanyika jijini Dar es Salaam

Washiriki wa warsha ya mafunzo kwa Watendaji wa Elimu, Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Christine Temba, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Tatizo la rushwa katika Idara ya Elimu na madhara yake,  Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Ofisa wa taasisi hiyo, Lina Mazigo, wa tatu ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Manispaa ya Ilala, Paul Mbembela na mjumbe wa kamati hiyo, Jovita Buyobe. (Picha zote na Kassim Mbarouk wa bayana.blogspot)

Baadhi ya washiriki wa warsha ya mafunzo kwa Watendaji wa Elimu, Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Christine Temba, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Tatizo la rushwa katika Idara ya Elimu na madhara yake,  Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Ofisa wa taasisi hiyo, Lina Mazigo, wa tatu ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Manispaa ya Ilala, Paul Mbembela na mjumbe wa kamati hiyo, Jovita Buyobe. 

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Reuben Gadi akichangia mada kuhusu Ni nini kifanyike ili kuondoa rushwa katika Idara ya Elimu wakati wa kutoa michango kwa washiriki wa warsha hiyo, jijini Dar es Salaam leo.

Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo, wakimsikiliza Ofisa wa Taasisi ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Christine Temba, wakati alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Tatizo la rushwa katika Idara ya Elimu na madhara yake, wakati wa warsha ya Mafunzo kwa Watendaji wa Elimu kuhusu mapambano dhidi ya rushwa sehemu za kazi, Dar es Salaam leo.
Ofisa wa Taasisi ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Christine Temba, 
akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Tatizo la rushwa katika Idara ya Elimu na madhara yake, kwenye warsha hiyo ya Mafunzo kwa Watendaji wa Elimu, Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Ofisa wa taasisi hiyo, Lina Mazigo, wa tatu ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Manispaa ya Ilala, Paul Mbembela na mjumbe wa kamati hiyo, Jovita Buyobe. 

Baadhi ya washiriki wa warsha ya mafunzo kwa Watendaji wa Elimu, wakimsikiliza Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Christine Temba, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Tatizo la rushwa katika Idara ya Elimu na madhara yake,  Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Ofisa wa taasisi hiyo, Lina Mazigo, wa tatu ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Manispaa ya Ilala, Paul Mbembela na mjumbe wa kamati hiyo, Jovita Buyobe. 

Ofisa wa Taasisi ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Christine Temba, 
akipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Tatizo la rushwa katika Idara ya Elimu na madhara yake, wakati wa warsha ya Mafunzo kwa Watendaji wa Elimu kuhusu mapambano ya dhidi ya rushwa sehemu za kazi, Dar es Salaam leo. 

No comments:

Post a Comment