Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia Mashirikiano ya Nchi mbali mbali wa Denmark, Charlotte Slente, alipofika Ikulu, Mjini Zanzibar leo, mchana akiwa na ujumbe aliofuatana nao, akiwemo Balozi wa Denmark nchini Johnny Flento (hayupo pichani). (Picha zote a Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi anayeshuhulikia Mashirikiano ya nchi mbali mbali wa Denmark, Charlotte Slente, alipofika Ikulu, Mjini Zanzibar leo mchana, akiwa na ujumbe aliofuatana nao, akiwemo Balozi wa Denmark nchini Johnny Flento (kushoto).
No comments:
Post a Comment