Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akifungua semina ya wanahisa wa benki hiyo, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akiifungua semina hiyo ya wanahisa wa benki jana. |
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa (kulia), akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
Meneja Mahusiano wa benki ya CRDB, Godwin Semunyu akifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika semina hiyo jana.
Mwelimishaji Charles Itembe, akitoa mada kuhusu fursa za
uwekezaji na upatikanaji mitaji katika masoko ya fedha, wakati wa semina ya wanahisa wa benki ya CRDB, iliyofanyika jijini Arusha jana.
Wanahisa wa benki ya CRDB, wakiwa katika semina yao hiyo.
Wadau wa Benki ya CRDB, wakiwa katika mapumziko, wakati wa semina hiyo.
No comments:
Post a Comment