TANGAZO


Wednesday, May 29, 2013

Vodacom Foundation yaikabidhi UDOM seti za kompyuta 40, zenye thamani ya sh. mil. 49

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Idris Kikula (katikati), akipokea seti 40 za compyuta, zote zikiwa na thamani ya Sh. milioni 49, zilizotolewa na Kampuni  ya Vodacom kupitia  taasisi yake ya Vodacom Foundation, kutoka kwa Mkuu wa taasisi hiyo,Yessaya Mwakifulefule katika hafla iliyofanyika Ofisi za Chuo Kikuu, mjini Dodoma  jana. 

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Idris Kikula (katikati), akipokea seti 40 za compyuta, zilizotolewa na Kampuni  ya Vodacom kupitia  taasisi yake ya Vodacom Foundation, kutoka kwa Mkuu wa taasisi hiyo,Yessaya Mwakifulefule katika hafla iliyofanyika Ofisi za Chuo Kikuu, mjini Dodoma  jana. 


Mkurugenzi wa IT wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dk. Mzee Suleiman Mndewa (katikati), akipokea seti 40 za compyuta, zote zikiwa na thamani ya Sh. milioni 49, zilizotolewa na Kampuni  ya Vodacom kupitia  taasisi yake ya  Vodacom Foundation, kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya Kati ya Vodacom, Mrutu Hamisi. Makabidhiano hayo, yalifanyika Ofisi za Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) jana. Kushoto ni Mkuu wa Taasisis ya Vodacoma Foundation, Yessaya Mwakifulefule.

Mkurugenzi wa IT wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dk. Mzee Suleiman Mndewa (katikati), akipokea seti 40 za compyuta, zote zikiwa na thamani ya Sh. milioni 49, zilizotolewa na Kampuni  ya Vodacom kupitia  taasisi yake ya  Vodacom Foundation, kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya Kati ya Vodacom, Mrutu Hamisi. Makabidhiano hayo, yalifanyika Ofisi za Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) jana. Kushoto ni Mkuu wa Taasisis ya Vodacoma Foundation, Yessaya Mwakifulefule. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment