Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Rene Meza kabla ya kuanza kwa mazungumzo ya mkutano wa Smart Partnership, utakaofanyika mwisho wa mwezi Juni, mwaka huu na kukutanisha zaidi ya wadau 500, toka nchi mbalimbali duniani. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu hivi karibuni. (Picha zote na Ikulu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza wakati alipokutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam hivi karibuni kabla yakuanza kwa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mkutano wa Smart Partnership utakaofanyika mwisho wa mwezi Juni na kukutanisha zaidi ya wadau 500 toka nchi mbalimbali duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza wakati alipokutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam hivi karibuni kabla yakuanza kwa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mkutano wa Smart Partnership utakaofanyika mwisho wa mwezi Juni na kukutanisha zaidi ya wadau 500 toka nchi mbalimbali duniani.
No comments:
Post a Comment