TANGAZO


Tuesday, May 28, 2013

Mshindi wa VODACOM MAHELA aondoka kuelekea kwao leo Kigoma baada ya kukabidhiwa fedha zake jana

Mhariri wa gazeti la Mtanzania, Kurwa Karedia, akimfanyia mahojiano mshindi wa sh. milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela, Valerian Kamugisha, alipokutana naye, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, wakati akisubiri kupanda ndege kwenda nyumbani kwao, Kigoma mara baada ya kukabidhiwa pesa zake hapo jana.

Mshindi wa sh. milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela, Valerian Kamugisha, akipungnia mkono, kuwaaga baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, waliomsindikiza, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, tayari kwa kurudi nyumbani kwao, Kigoma mara baada ya kukabidhiwa pesa zake hapo jana.

Mshindi wa sh. milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela, Valerian Kamugisha (wa kwanza kushoto), akiwa kwenye ndege na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu, wakielekea Kigoma nyumbani kwa mshindi, mara ya makabidhiano ya fedha zake.
Producer mkongwe nchini, Fred Nyantori akifanya vitu vyake ndani ya pipa..

Mshindi wa sh. milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela, Valerian Kamugisha, akijisomea habari mbalimbali za gazeti la Daily News ndani ya ndege, wakati akirudi kwao Kigoma, mara baada ya kukabidhiwa rasmi pesa zake hapo jana.
Mshindi wa sh. milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela, Valerian Kamugisha, akijisomea habari mbalimbali za gazeti la Daily News ndani ya ndege, wakati akirudi kwao Kigoma, mara baada ya kukabidhiwa rasmi pesa zake hapo jana.
Mshindi wa sh. milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela, Valerian Kamugisha, akijisomea habari mbalimbali za gazeti la Mwananchi akiwa ndani ya ndege kurudi kwao Kigoma, mara baada ya kukabidhiwa rasmi pesa zake hapo jana.
Mshindi wa sh. milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela, Valerian Kamugisha, akijisomea habari mbalimbali za gazeti la Habarileo akiwa ndani ya ndege kurudi kwao Kigoma, mara baada ya kukabidhiwa rasmi pesa zake hapo jana.

Mshindi wa sh. milioni 100 wa Promosheni ya Vodacom Mahela, Valerian Kamugisha, akisukuma toroli lenye mizigo yake mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Mwanza, akiambatana na Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon, wakiendelea na safari ya Kigoma nyumbani kwa mshindi, mara baada ya makabidhiano ya fedha zake rasmi hapo jana. (Picha zote na Vodacom)

No comments:

Post a Comment