Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka akifungua rasmi
semina ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na SSRA na Mifuko ya Hifadhi ya
jamii, mjini Dodoma leo.
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka akijibu baadhi ya
maswali ya waandishi wa habari. Pembeni yake ni Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka pamoja na Naibu Waziri, Milton Makongoro Mahanga.
Mmoja wa waandishi wa habari, akichangia mada katika semina ya
waandishi wa habari.
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka akiwasilisha mada
kuhusu Sekta ya Hifadhi ya jamii kwa Wabunge.
Mkurugenzi Mkuu wa GEPF, Daud Msangi akiwasilisha mada juu ya mchango wa GEPF katika kuendeleza sekta ya hifadhi ya jamii.
Mbunge wa Singida Kondoa, Juma Nkamia, akishiriki katika kuchangia mada.
Naibu Spika, Job Ndugai akifungua rasmi semina maalum ya Wabunge, iliyoandaliwa na SSRA na Mifuko ya Hifadhi ya jamii mjini
Dodoma.
Mbunge Anna Abdallah, akiuliza swali juu ya shughuli za Mifuko ya
Hifadhi ya jamii katika semina hiyo.
No comments:
Post a Comment