Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Rchard Lyimo (kushoto), akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya, kilichofanyika leo, Jumanne, April 2, 2013, Ofisi za Tume, jijini Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Maria Kashonda (katikati) na Said El-Maamry.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salama Kombo Ahmed (katikati), akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya, kilichofanyika leo, Jumanne, April 2, 2013, Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Abubakar Ali (kushoto) na kulia ni Mbunge Al-Shaymaa Kwegyir.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Raya Suleiman Hamad (kushoto), akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya, kilichofanyika leo, Jumanne, April 2, 2013, Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Wajumbe wa Tume, Humphery Polepole na Jesca Mkuchu. (Picha zote na Tume ya Katiba)
No comments:
Post a Comment