TANGAZO

Tuesday, April 23, 2013

Rais Kikwete akutana na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mkutano na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya Kikristo, alipokutana nao leo April 23, 2013, Ikulu jijini Dar es Salaam katika juhudi zake za kukutana na makundi mbalimbali ya kidini ili kuondoa changamoto za kiimani zilizojitokeza nchini hivi karibuni. (Picha zote na Ikulu)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya Kikristo, alipokutana nao leo, April 23, 2013 Ikulu, jijini Dar es Salaam katika juhudi zake za kukutana na makundi mbalimbali ya kidini ili kuondoa changamoto za kiimani zilizojitokeza nchini hivi karibuni.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya Kikristo, mara baada ya kukutana nao leo April 23, 2013, Ikulu jijini Dar es Salaam katika juhudi zake za kukutana na makundi mbalimbali ya kidini ili kuondoa changamoto za kiimani zilizojitokeza nchini hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment