TANGAZO


Wednesday, March 20, 2013

Rais Kikwete awafariji wafiwa wa Trafiki aliyefariki kwa kugongwa na gari akiongoza magari baada ya msafara wa Rais kupita jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP 2942 Koplo Elikiza, nyumbani kwa marehemu maeneo ya Ununio, Machi 19, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole mume wa marehemu alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu maeneo ya Ununio Machi 19, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto pamoja na IGP Saidi Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu maeneo ya Ununio Machi 19, 2013. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment