|
Picha ya marehemu WP Elikizaeli Lokisa Nnko, enzi za
uhai wake.
|
Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa Trafiki aliyegongwa wakati akiongoza msafara wa magari ya Kikwete, jijini Dar es Salaam.
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka saini katika kitabu
cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa askari wa Usalama Barabarani, WP Elikizaeli
Lokisa Nnko, aliyefariki dunia kwa kugongwa na gari na dereva ambaye hadi sasa
hajajulikana wakati akiwa katika majukumu yake ya kikazi eneo la Bamaga Mwenge
jijini Dar es Salaam jana.
|
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Prince David,
mtoto wa aliyekuwa askari wa Usalama Barabarani, marehemu WP Elikizaeli Lokisa
Nnko, aliyefariki dunia kwa kugongwa na gari na dereva ambaye hadi sasa
hajajulikana wakati akiwa katika majukumu yake ya kikazi eneo la Bamaga Mwenge
jijini Dar es Salaam jana.
|
Waombolezaji wakiwa kwenye msiba huo.
|
Baadhi ya waombolezaji
wakiwa nyumbani kwa marehemu kuomboleza msiba
huo.
|
|
Kutoka kulia ni mume wa
marehemu, David Erasto Luharara, watoto wa marehem, Prince David na Abdulhaman
David, wakiwa na huzuni. (Picha zote na OMR)
|
No comments:
Post a Comment