Mkurugenzi
wa Usalama na Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred
Lwakatare akionesha ishara ya vidole ambayo ni salamu kwa wafuasi wa chama chake
wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es
Salaam leo kusikilizwa kesi yake inayomkabili. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
Askari wa mbwa
wakiimarisha ulinzi wakati wa kesi hiyo.
Askari wa mbwa wakiimarisha ulinzi wakati wa
kesi hiyo.
Askari wakiwa katika ulinzi mkali pamoja na mbwa wao, nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo;
Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred
Lwakatare akiwa na mtuhumiwa mwenzake, Ludovick Joseph wakiingia mahakamani
leo.
Mkurugenzi wa
Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa na mtuhumiwa mwenzake,
Ludovick Joseph wakiingia mahakamani leo.
Polisi wakisindikiza msafara wa gari
lililompakia Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare
kuelekea mahabusu hadi April 3 mwaka huu.
Mkurugenzi wa Usalama na
Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare
akionesha ishara ya vidole ambayo ni salamu kwa wafuasi wa chama chake wakati
akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiteta
jambo na mke wa Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama hicho, Wilfred
Lwakatare.
Jengo la Mahakama ya Kisutu, linavyoonekana.
Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakiwa wamekusanyika nje ya
mahakama hiyo.
No comments:
Post a Comment