Mbunge wa Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, Mussa Azzan Zungu, akizungumza wakati alipofika Kituo cha Polisi, Msimbazi kukabidhi hundi ya sh. milioni 5, zilizotolewa na Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TICRA) na fedha taslimu sh. milioni 3.863, zilizotolewa na Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kukamilisha sh. milioni 8.863, zikiwa ni gharama za kusaidia ujenzi wa miundombinu ya maji safi katika Kambi ya Msimbazi jijini. Wa pili kulia ni Mkuu wa Polisi (W) Kariakoo, Mrakaibu Mwandamizi Renata Mzinga. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Mkuu wa Polisi (W) Kariakoo, Mrakaibu Mwandamizi Renata Mzinga, akizungumza wakati wa hafla hiyo, ofisini kwake, Polisi Msimbazi, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu na kushoto ni baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za mitaa ya Kariakoo.
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, Mussa Azzani Zungu, akimkabidhi hundi ya sh. milioni 5, zilizotolewa na Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania (TICRA) na fedha taslimu sh. milioni 3.863, zilizotolewa na Mfuko wa Jimbo, Mkuu wa Polisi (W) Kariakoo, Mrakibu Mwandamizi, Renata Mzinga kwa ajili ya kukamilisha sh. milioni 8.863, kusaidia ujenzi wa miundombinu ya maji safi katika Kambi ya Msimbazi jijini. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kariakoo Kaskazini, Kondo Mtetwa na wa pili kushoto ni Mkuu wa Upelelezi, Kariakoo, Reuben Mwakabonga.
Mbunge Zungu, akikabidhi hundi ya sh. milioni 5, zilizotolewa na Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania (TICRA) na kisha sh. 3.863, taslimu, zilizotolewa na Mfuko wa Jimbo, kwa Mkuu wa Polisi (W) Kariakoo, Mrakibu Mwandamizi Renata Mzinga. Jumla zikiwa ni sh. milioni 8.863, kusaidia ujenzi wa miundombinu ya maji safi katika Kambi ya Msimbazi jijini. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kariakoo Kaskazini, Kondo Mtetwa na wa pili kushoto ni Mkuu wa Upelelezi, Kariakoo, Reuben Mwakabonga.
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, Mussa Azzani Zungu, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi hundi ya sh. milioni 5 zilizotolewa na Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania (TICRA) na fedha taslimu sh. milioni 3.863, zilizotolewa na Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kukamilisha sh. milioni 8.863 zikiwa ni gharama za kusaidia ujenzi wa miundombinu ya maji safi katika Kambi ya Msimbazi jijini. Kushoto ni Mkuu wa Polisi (W) Kariakoo, Mrakaibu Mwandamizi Renata Mzinga.
No comments:
Post a Comment