Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mchungaji Aaron Malyuta wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Bariadi, wakati alipozindua Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Simiyu (RCC), Ukumbi wa KKKT, mjini Bariadi jana, Februari 19, 2013. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Paschal Mabiti.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na wafanyabiashara katika eneo la Mnada wa Bariadi, wakti alipowatembelea jana, Febuari 19, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na yatima wa Shule ya Msingi ya Tumaini, inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mjni Bariadi jana, Februari 19, 2013. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment