Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko
ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akizungumza katika mkutano na waandishi wa
vyombo mbalimbali vya habari, aliokutana leo, katika Ofisi za tume hiyo, jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani. (Picha na Tume ya Katiba)
|
No comments:
Post a Comment